Kwa Sadio Mané, kila kitu kilianzia Bambali. Ni kusini-magharibi mwa Senegal alipoanza kucheza soka, akipiga mpira kwenye mitaa yenye udongo mwekundu na viwanja vya mchanga, na akiwa na umri wa miaka ...
Sadio Mane ni shujaa wa Senegal kwa mara nyingine, lakini mara hii ni kwa sababu tofauti kidogo. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Liverpool na Bayern Munich ameshinda taji lake la pili la Kombe la ...