Mwishoni mwa siku ndefu, unagundua kuwa unaanza kuhisi maumivu ya kichwa. Unachokifanya ni kunununua dawa za kutuliza maumivu kutoka kwa muuzaji wa mtaani, na unakunywa mbili. Lakini unajuaje tembe ...
Siku hiyo ilianza kama siku yoyote ya kawaida. Asubuhi, aliondoka nyumbani kwake viungani mwa jiji la Nairobi na kwenda shambani kuchukua mifugo yake. "Sikuwaona," anakumbuka. "Nilitafuta siku nzima, ...