Mnamo mwaka 1938, Dkt. Alfred Kinsey, mtaalamu wa wanyama asiyejulikana sana huko Marekani, aliacha uchunguzi wake wa nyigu na akageukia uchunguzi wa ngono. Kazi yake katika kazi hii ilimfanya kuwa ...
Eulene Murhando anajionea fahari ufanisi alioupata lakini rohoni mwake ana kumbukumbu za madhila aliyoyapitia utotoni ambayo karibu yasambaratishe maisha yake. Tangu akiwa mdogo, anasema alikuwa ...
Serikali ya Tanzania imepiga marufuku vitabu vingi vya watoto shuleni, hasa vya elimu ya ngono na vinavyoshutumu kwa kukiuka "kanuni za kitamaduni na maadili" za nchi hii ya Afrika Mashariki ambapo ...