Makonda akagua Uwanja wa Mkapa maandalizi ya AFCON 2027 Jumatatu, Februari 09, 2026 Photo: 1/9 ...
WAKATI Yanga ikijiandaa na mechi ya mwisho ya Kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Kabylie ya Algeria, kuna ...
GSM amewadaiwa ataibuka kambi ya Yanga kule visiwani kuanzia leo ili kuzungumza na mastaa kabla ya kesho kukaa jukwaani kuwaangalia wakipambana kuisaka tiketi hiyo ya robo, huku kocha Pedro Goncalves ...
Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) limekamilisha maandalizi yote ya kuikaribisha timu ya Yanga SC katika Uwanja wa New Amaan ...
SUPASTAA, Mohamed Salah amefunga bao kubwa kwa kuingiza Pauni 45 milioni kutokana na mikataba ya udhamini na haki za matumizi ya picha zake.
KUNA wasanii wanakuja kwenye tasnia kwa kishindo, wanatoa wimbo mmoja au miwili halafu wanapotea taratibu kwenye ramani ya ...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amefichua kuwa alitamani mechi ya marudiano ya fainali ya ...
BEKI wa kushoto wa Singida Black Stars, Mghana Ibrahim Imoro, amehusika katika mabao matatu ya Ligi Kuu Bara msimu huu, huku ...
WAKATI kikosi cha Yanga kikiendelea na mazoezi usiku huu kwenye Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar mdhamini wa timu hiyo Ghalib Said Mohamed (GSM), ameibuka mazoezi hapo.
LONDON, ENGLAND: STAA, Raheem Sterling amekubali kujiunga na klabu ya Feyenoord ya Uholanzi hadi mwisho wa msimu. Winga huyo alimaliza mgogoro wake na Chelsea mwezi uliopita baada ya kukubaliana na ...
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski, 37, ameamua kusubiri matokeo ya uchaguzi wa urais wa Barcelona unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao kabla ya kufanya uamuzi ...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amezihakikishia nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kuwa zitaandaa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kama ilivyopangwa.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results