Wajasiriamali nchini wameshauriwa kutumia Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kupima bidhaa zao kabla ya kuzipeleka nje ya ...
Akizungumza leo Machi 3,2025 jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa maonesho ya wanawake na vijana yaliyoandaliwa na ...
JUMLA ya waogeleaji 14 wameunda timu ya Taifa kujiandaa na mashindano ya vijana ya kuogelea ya Afrika yatakayofanyika kuanzia ...
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa Watanzania kukemea vitendo vya ukatili ulioshamiri dhidi ya wanawake na watoto na kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa dhidi ya wahusika. Ametoa kau ...
Mchezaji wa gofu wa kulipwa kutoka klabu ya Gymkhana Dar es Salaam, Fadhili Nkya ameibuka bingwa katika michuano ya Lina PG ...
Mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Paul Makanza, ameongoza ukaguzi wa maendeleo ya mradi wa kituo mama cha ujazaji gesi asilia kilichopo Mlimani, Dar ...
Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake, wahifadhi wanawake wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapaori Tanzania ...
Akitolea mfano, Rose anasema Msama alikuwa ananisaidia kutoa ushauri wakati wa kuandaa muziki, alitoa msaada mkubwa wa fedha ...
Afisa Mkuu Mtaala Mwandamizi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dk. Joyce Kahambe, amewasihi wazazi waendelee kuwahimiza ...
Bahati Nasibu ya Taifa Tanzania imetangaza ushirikiano wa kimkakati na Mixx by Yas, hatua muhimu inayolenga kuimarisha ...
Serikali kupitia Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imezindua mpango wa kuwapatia mikopo vijana wanaotaka kujiajiri na kujipatia kipato kwa kufanya kazi masaa 24, ikiwa ni hatua ya kupambana na ...
Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umejipanga kuboresha huduma kwa wasanii na wabunifu katika mwaka wa fedha 2025/26, kwa ...