All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Mswahili TV Live Stream
Tanzania Ministers
Palamagamba
Kabudi
Tanzania News Yesterday
Tanzania Government
Hotuba Za Rais Kikwete Madarakani
Kubambia Kenya
Kufirwa Mkundu Hadi Mavi
Pig Comfarence in Tanzania
Profesa David Wambe
Makongoro Nyerere News
Lippa Sport
Solllayne Dayna
Khabandela
BBI Thompson
Team Handball
Opugno Kambuta
Paramagamba John Aidan Mwaluko
Kabudi
Kubambia
Paramagamba John Aidan
Kabudi
Netball
Bandi
Kubambia Kibaokata
Wabakwa Hadi Kuwa Vichaa
Tabora Ghana
Maneno Mazito Ya Palamangamba
Kabudi
Sepak Takraw
Jallikattu
Hotuba Za Paramagamba
Kabudi
Alexandria Deberry
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
Mswahili TV Live Stream
Tanzania Ministers
Palamagamba
Kabudi
Tanzania News Yesterday
Tanzania Government
Hotuba Za Rais Kikwete Madarakani
Kubambia Kenya
Kufirwa Mkundu Hadi Mavi
Pig Comfarence in Tanzania
Profesa David Wambe
Makongoro Nyerere News
Lippa Sport
Solllayne Dayna
Khabandela
BBI Thompson
Team Handball
Opugno Kambuta
Paramagamba John Aidan Mwaluko
Kabudi
Kubambia
Paramagamba John Aidan
Kabudi
Netball
Bandi
Kubambia Kibaokata
Wabakwa Hadi Kuwa Vichaa
Tabora Ghana
Maneno Mazito Ya Palamangamba
Kabudi
Sepak Takraw
Jallikattu
Hotuba Za Paramagamba
Kabudi
Alexandria Deberry
Prof
Kabudi
Benjamin Mkapa Stadium
Help Me Out Lyrics
U.S. Embassy in Kenya
Corona in Tanzania
Fungi Tanzania
Professor
Kabudi
Haki Za Binadamu
Waziri
Kabudi
Tanzania Area
Friday Night Saturday Morning
WA Lesa
Tourism in Tanzania
Tanzania Travelling
Cincinnati Woman Song
General Assembly
Ingrid Betancourt 2002
Peaceful Christmas
Ugandan TV
Burn Down Babylon
Prof. Palamagamba Kabudi aikabidhi Taifa Stars milioni 20
9 months ago
jamiiforums.com
2:50
MABADILIKO KUREJEA NCHINI TAIFA STARS Timu ya Taifa ya Kandanda ya Tanzania (Taifa Stars) ambayo ilikuwa irejee nchini kesho tarehe 07 Januari, 2025, sasa itarejea tarehe tarehe 08 Januari, 2026. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa amesema mabadiliko hayo yana lengo la kuiwezesha timu hiyo kuwasili muda mzuri ambao utatoa nafasi kwa Watanzania kuwapokea na kuwapongeza wachezaji kwa kazi kubwa na nzuri waliyoifanya wakiwa kati
4.6K views
4 months ago
Facebook
Gerson Msigwa
4:35
Profesa Kabudi kuhusu ishu za makabila. | Habari 24
399.9K views
5 months ago
Facebook
Habari 24
4:08
KUTOKA IKULU DAR ES SALAAM | Baadhi ya mashabiki wa Taifa stars ambao pia ni wanahamasa wa timu hiyo, wamejitokeza Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo kunafanyika hafla fupi ya chakula cha mchana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wachezaji wote pamoja na benchi la ufundi la timu hiyo likiongozwa na kocha Miguel Gamondi. (Imeandaliwa na @jairomtitu3) #Mashabiki #TaifaStars #Ikulu | AzamSports
5.9K views
4 months ago
Facebook
AzamSports
1:16
PROFESA KABUDI : TANZANIA NI TAIFA SI MKUSANYIKO WA MAKABILA
6 days ago
YouTube
Maarifa Online Media
3:00
MABADILIKO SAFARI YA TAIFA STARS: Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ambayo ilikuwa irejee nchini Januari 7, 2026, sasa itarejea Januari 8, 2026. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema mabadiliko hayo yana lengo la kuiwezesha timu hiyo kuwasili muda mzuri ambao utatoa fursa kwa Watanzania kuwapokea na kuwapongeza wachezaji kwa kazi waliyoifanya wakiwa kwenye fainali za AFCON2025 zinazofanyika nchini Morocco.
15.1K views
4 months ago
Facebook
AzamSports
3:11
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kilichofanywa na Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025) inayoendelea nchini Morocco ni ishara njema kuelekea fainali za AFCON 2027 ambapo Tanzania ni miongoni mwa waandaji ikishirikiana na nchi za Kenya na Uganda. Prof. Kabudi amesema kwa sasa Tanzania sio wasindikizaji tena kwenye michuano hiyo bali ni washiriki kamili kutokana na ubora waliouonesha wa kufu
1.7K views
4 months ago
Facebook
TBConline
3:25
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema wizara hiyo ina mchango katika msingi wa umoja na mshikamano wa Taifa unaosaidia kuleta maendeleo ya kijamii na Taifa kwa ujumla. Profesa Kabudi amesema hayo jijini Dodoma alipowasili katika Ofisi za wizara hiyo. "Mhe. Rais imempendeza kuturudisha kumsaidia katika wizara hii ambayo kwa ukubwa wake, ameteua Naibu Mawaziri wawili. Ni lazima tufanye kazi kwa ushirikiano na umoja ili tutimize azma ya kuwepo kwa wizara h
4.3K views
6 months ago
Facebook
TBConline
1:25
Profesa Palamagamba Kabudi leo, Novemba 18, 2025, ameapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuongoza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Hafla hiyo ya uapisho imefanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma. | TBConline
9.1K views
6 months ago
Facebook
TBConline
1:31
Mungu ni mwema sana, Hapo ni hospitali ya taifa ya Muhimbili madaktari walikuwa wakinifanyisha mazoezi ya kusimama (Physiotherapy) baada ya kulala kitandani kwa muda mrefu sana🙏🙏 @mke_wa_profjize @betriyonce @muhimbili_taifa | Profesa Jay
597.1K views
Sep 30, 2024
Facebook
Profesa Jay
3:59
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', yawasili Dar es Salaam leo Januari 8, 2026, ikitokea nchini Morocco ambako ilishiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025). Mapokezi ya Taifa Stars yameongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi. Kwa nini Stars imepewa heshima kubwa ya mapokezi? Ni baada ya kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kwa kufika hatua ya 16 bora katika michuano hiyo. | TBConline
26.7K views
4 months ago
Facebook
TBConline
3:50
KUTOKA MISRI: Kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepata ugeni wa mawaziri wawili zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kipyenga cha #AFCON2025 kupulizwa. Ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo. Balozi Kombo amesema tayari amezungumza na Waziri mwenzake wa Morocco na kusema kuwa Stars itapata mapokezi mazuri. Fainali za #AFCON2025 zitaanza Desemba 21 na me
10.4K views
5 months ago
Facebook
AzamSports
1:34
SIMON MSUVA NA WAZIRI KABUDI WASEMA NA WATANZANIA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya timu washindani wa michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya Timu ya Taifa, Taifa Stars, kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza katika historia ya mashindano hayo. Akizungumza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam Leo, wakati wa mapokezi ya Taifa Stars waliorejea nchini k
6.1K views
4 months ago
Facebook
Salim Kikeke
2:46
#bahariaNEWS- Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kufuatia uzito wa michuano ya AFCON itayofanyijka nchini Morocco, Paul Makonda ambaye ni Naibu waziri wa wizara hiyo, ataongoza msafara wa Taifa Stars kuelekea Morocco. #bahariaUpdates | Baharia TV
2.3K views
5 months ago
Facebook
Baharia TV
3:29
KUTOKA IKULU DAR: “Ikulu nahitaji akili iliyopevuka” Rais Samia Suluhu Hassan amebainisha sababu za kumteua Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) akimuondoa kwenye Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambako sasa amemteua Paul Makonda. Rais Samia amesema hivi karibuni ameteua washauri wawili, ambapo Makamu wa Rais Mstaafu atakuwa anamshauri mambo ya uchumi na miradi, na Waziri Mkuu Mstaafu atakuwa anamshauri mambo ya jamii. Rais amesema uteuzi wa wa
9.5K views
4 months ago
Facebook
AzamSports
4:30
Taifa Stars imelamba Zawadi Milioni 40 baada ya Ushindi wa magoli Mawili dhidi ya Burkina Faso hapo jana, Milioni 20 zimetoka katika Goli la Mama Rais Samia Suluhu na Milioni 20 nyingine ni kutoka kwa Waziri wa Michezo Prof Palamagamba Kabudi Funzo la Maisha: Leo Mimi nimeamka na shilingi 100 tu kwenye wallet 😢 #halisimax #halisinewsflash #halisimediatz | Halisi Max
43.2K views
9 months ago
Facebook
Halisi Max
1:45
#HABARI: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Profesa Palamagamba Kabudi, amewasisitiza viongozi wanaostaafu, kuandika vitabu vinavyoainisha safari za maisha yao, ili kuweka kumbukumbu sahihi za mchango walioutoa kwa taifa na kutoa elimu kwa kizazi kipya. Amesema hatua hiyo itawawezesha vijana wanaotamani kuwa viongozi kujifunza kupitia uzoefu, changamoto na mafanikio ya waliotangulia. Profesa Kabudi ametoa rai hiyo wakati akizungumza kuhusu kitabu kipya kilichoandikwa na Baloz
7.2K views
5 months ago
Facebook
ITV Tanzania
0:25
Vibe la kuwapokea Taifa Stars 🇹🇿 linaendelea nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Stars inarejea nyumbani leo Januari 8, 2026 kutoka nchini Morocco iliposhiriki michuano ya AFCON 2025 na kufanikiwa kuandika rekodi ya kufika hatua ya mtoano kwa mara ya kwanza katika historia. | TBConline
33.2K views
4 months ago
Facebook
TBConline
3:35
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba ameeleza namna Tanzania ilivyopita katika vipindi vigumu na jinsi ilivyofanikiwa kujiondoa katika vipindi hivyo tangu ilipopata uhuru wake mwaka 1961. Profesa Kabudi ameeleza kuwa miongoni mwa silaha kubwa iliyosaidia taifa lisizame kwenye vipindi vigumu ni uongozi mahiri wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambao ulifanikiwa kuunganisha taifa lote kuwa kitu kimoja na kuwafanya watu wake kuwa na uzalendo kwa t
116.9K views
5 months ago
Facebook
TBConline
3:18
MAPOKEZI YA TAIFA STARS: “Nyota njema huonekana asubuhi” Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, anasema kilichofanywa na Timu ya Taifa kwenye fainali za #AFCON2025 ni ishara njema kuelekea fainali za #AFCON2027 ambapo Tanzania ni miongoni mwa waandaji ikishirikiana na Kenya na Uganda. Profesa Kabudi anasema kwa sasa Tanzania sio wasindikizaji kwenye #AFCON, ni washiriki. Kabudi amezungumza hayo leo kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es
7.1K views
4 months ago
Facebook
AzamSports
2:38
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, amesema Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya timu washindani wa michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON), baada ya Timu ya Taifa, Taifa Stars, kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza katika historia ya mashindano hayo. - Akizungumza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam leo Januari 8, 2026, wakati wa mapokezi ya Taifa Stars waliorejea nchini kutoka Morocco kwenye michuano ya AFCON, P
226 views
4 months ago
Facebook
Spotileo
3:30
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amekabidhi Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) kitita cha shilingi milioni 20 (Goli la Mama) baada ya kuifunga Burkina Faso 2 - 0 katika ufunguzi wa Mashindano ya CHAN Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, ambazo zimetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kama alivyoahidi kila goli moja shilingi milioni kumi. Pia Prof. Kabudi nae ametoa shilingi milioni
66.3K views
9 months ago
Facebook
TBConline
4:06
KUTOKA IKULU DAR: “Umenifanya niipende michezo” Waziri Mteule wa Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) ambaye hapo kabla alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amemshukuru Naibu Waziri wa Wizara hiyo Hamis Mwinjuma (MwanaFA) kwa kumsaidia kuijua na kuipenda michezo. Kabudi anasema familia yake ilishindwa kuipenda michezo, lakini MwanaFA amefanikiwa hilo. Kabudi amesema hayo leo kwenye hafla ya kuwapongeza wanamichezo wote waliofanya vizuri katika mashindano ya k
36.8K views
4 months ago
Facebook
AzamSports
1:10
"...pale Ikulu nahitaji akili iliyopevuka yenye maarifa mapana, yenye uzoefu mkubwa na mtu ambaye yuko vizuri kwenye kujieleza na kueleza jambo likaeleweka, nimepiga picha serikalini kwangu kote nikasema Profesa Kabudi atanifaaa....."Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #Follow @itvtz @radioonetanzania @capit
93.3K views
4 months ago
Facebook
ITV Tanzania
0:58
KUTOKA IKULU DAR: Zawadi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutoka kwa wachezaji wa Taifa Stars pamoja na Waziri Mteule wa Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) ambaye hapo kabla alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi. Ni kwenye hafla ya kuwapongeza wanamichezo wote waliofanya vizuri katika mashindano ya kimataifa ikiwemo Taifa Stars ambayo imetinga hatua ya 16 bora ya fainali za #AFCON2025. Hafla hiyo imefanyika Ikulu ya Magogoni Dar es Salaam. Ilikuwa LIVE #AzamSport
29.6K views
4 months ago
Facebook
AzamSports
2:04
KUTOKA IKULU DAR: “Mmefanya kazi nzuri sana” Rais Samia Suluhu Hassan, amewapongeza wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kazi nzuri waliyofanya na kuongeza kuwa inafahamika kwa nini yalitokea ya kutokea kwenye mechi ya dhidi ya wenyeji Morocco. Ni kwenye hafla ya kuwapongeza wanamichezo wote waliofanya vizuri katika mashindano ya kimataifa ikiwemo Taifa Stars ambayo imetinga hatua ya 16 bora ya fainali za #AFCON2025. Hafla hiyo imefanyika Ikulu ya Magogoni Dar es Salaam. Ilik
8K views
4 months ago
Facebook
AzamSports
1:38
KUTOKA IKULU DAR: “Michezo haikuwa sehemu ya mambo ambayo niliyatarajia” Waziri Mteule wa Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) ambaye hapo kabla alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema katika maisha yake yenye makumi saba, mambo ya michezo hayakuwa sehemu yake. Kabudi anasema alipoteuliwa kushika wadhfa wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, rafiki zake walimwambia sasa umepatikana. Kabudi amesema hayo leo kwenye hafla ya kuwapongeza wanamiche
4.5K views
4 months ago
Facebook
AzamSports
0:54
Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ametaja sababu za kumteua Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalumu), akisema ni kiongozi mzoefu na mwenye maarifa atakayemsaidia katika utekelezaji wa majukumu yake. Kwa mujibu wa Dkt Samia, ni mapema kufanya mabadiliko, lakini amechukua uamuzi huo ili kuendana na siasa za dunia zinavyokwenda ambazo zina jicho hasi na chanya kwa Tanzania. Dkt Samia ameeleza hayo Jumamosi Januari 10,2026 wakati wa hafla ya kuipong
2.6K views
4 months ago
Facebook
Kissfm Tanzania
3:17
Naibu waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Paul Makonda akitoa hamasa na maneno ya faraja kwa wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania maarufu kama Taifa Stars kuelekea mechi na Tunisia katika michuano ya timu kuu za Taifa barani Afrika (AFCON) Makonda amewaambia wachezaji kuwa mechi kati ya Tanzania na Tunisia Watanzania Watanunua goli moja kwa shilingi milioni 200. | Bantu Media
62.1K views
4 months ago
Facebook
Bantu Media
1:18
Sifa na utukufu ni kwa Mwenyezi Mungu Rahimu. Nitumie fursa hii kumshukuru Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuniamini nidumu kwenye kulitumikia Taifa langu katika sekta za Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo kama Naibu Waziri nikimsaidia Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi na nikishirikiana na Ndugu Paul Christian Makonda kama Naibu Waziri mwenzangu katika Wizara hii. Kazi Inaendelea. | MwanaFA
14.3K views
6 months ago
Facebook
MwanaFA
See more
More like this
Feedback